LYRIC

Siiweema usinipe mateso ya moyo
Na sasa nimechoka kweli nasemaa

Siwema usinipe mateso ya moyo
Na sasa nimechooka kweli naseema

Nilidhani nimepata mpenzi wa kweli
Na kumbe nimepatikana na mambo ya ajabu uuh

Nia na madhumuni yako nimeshavitambua siwema kaka, siwema kaka ah ah aah

Unaajitapa mbele ya rafiki zako, kwamba mimi
Sina la kusema mbele yako, umeniweka kwenye
Kiganja ah ah

Unalotaka ndilo ninalofanya, sababu wewe ni mzuri sana
Siwezi kupata mwingine kama wewe

Siwema kaka, unajidanganyaaa

Wema wanguu ndio ulionipooonza, fadhila zote kumbe kwako ni buree

Malipo yake kunifanya mjingaa .wouwoo
Ayo yote ni makosa yangu, lakini sasa nimejifunza
Kutokana na makosa aah

Najiepusha nawe mamaah

Nimezunguuka Tz baraa ah.unguja na pemba nimefika aah, nimewaona vijana wenye sifa aah, wenye kujipamba wakapambika aah x 2

Kwahiyo niielewe brother,
Sibabaishwi na suraa haaa, napenda tabia njema

(Sibabaishwi na sura yako)
Sibabaishwi na sura aaah, napenda tabia njeema
(Usifikiri mimi limbukeni sana)
Sibabaishwi na sura aah, napenda tabia njema
(Nilikupenda kimapenzi)
Sibabaishwi na sura aaah, napenda tabia njema
(Ukaniona mimi sugar mumy lako)
Sibabaishwi na suraa aah, napenda tabia njema
(Tabia njema ndiio silaha yako)
Sibabaishwi na sura aah, napenda tabia njema
(Kila mtu atakupenda kaka)
Sibabaishwi na sura aah, napenda tabia njema

Added by

user

SHARE

Comments are off this post

ADVERTISEMENT